Episodios

  • Upwork Series: Nimeingiza 80M+ Upwork kupitia kazi za digital marketing.
    May 21 2025

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
    1 h y 59 m
  • Upwork Series: Nimeingiza 27M+ Upwork kupitia kazi za research.
    May 21 2025

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
    1 h y 38 m
  • Upwork Series: Namna nimeingiza 27M+ Upwork kwa kufanya kazi za Translation
    May 14 2025

    Kwenye Epsode ya kwanza ya #UpworkSeries tulizungumza na Julius ambaye alishare nasi safari yake ya kufanya kazi za translation Upwork zilizomsaidia kuingiza zaidi ya 200M+ mtandaoni.


    Kwenye Epsode hii ya pili tuko na Philbert ambaye pia ni swahili Translator.Kwenye dashboard ya Upwork Philbert ameingiza zaidi ya Tzs 27M kwa kufanya kazi za translation.

    Tenga muda wako na sikiliza kwa makini mazungumzo tumefanya na Philbert.

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
    33 m
  • Upwork Series: Nimeingiza TZS 200M+ Online
    May 13 2025
    Kwenye Epsode no 1 ya #upwork series nimezungumza na Julius ambaye ni Top rated pale Upwork.Julius ameshare safari yake kwenye jukwaa la Upwork pamoja na maendeo mengine anayopata kazi za mtandaoni.Kuwa sehemu ya kuwezesha programu hii kupitia Nisapoti: nisapoti.com/mafolebarakaTembelea website yangu kuomba kazi za mtandaoni na kujiunga na community yangu: www.mafolebaraka.comBaadhi ya website/tools zilizotajwa kwenye podcast hiiUpwork: www.upwork.comSDL TradosPO editor#remotework #translation #upworkproposal

    Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

    Más Menos
    1 h y 19 m
adbl_web_global_use_to_activate_T1_webcro805_stickypopup