Upwork Series: Namna nimeingiza 27M+ Upwork kwa kufanya kazi za Translation Podcast Por  arte de portada

Upwork Series: Namna nimeingiza 27M+ Upwork kwa kufanya kazi za Translation

Upwork Series: Namna nimeingiza 27M+ Upwork kwa kufanya kazi za Translation

Escúchala gratis

Ver detalles del espectáculo

Acerca de esta escucha

Kwenye Epsode ya kwanza ya #UpworkSeries tulizungumza na Julius ambaye alishare nasi safari yake ya kufanya kazi za translation Upwork zilizomsaidia kuingiza zaidi ya 200M+ mtandaoni.


Kwenye Epsode hii ya pili tuko na Philbert ambaye pia ni swahili Translator.Kwenye dashboard ya Upwork Philbert ameingiza zaidi ya Tzs 27M kwa kufanya kazi za translation.

Tenga muda wako na sikiliza kwa makini mazungumzo tumefanya na Philbert.

Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

adbl_web_global_use_to_activate_T1_webcro805_stickypopup
Todavía no hay opiniones