• Zifahamu Ibada za Mama Bikira Maria.
    Feb 12 2025

    Karibu uungane nami Happiness Mlewa, katika kipindi cha Tafakari Nasi leo studio tupo na Padre Gidion Kitamboya wa Parokia ya Hembahemba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma ,mada juu ya Ibada harisi kwa Mama Bikira Maria.

    L'articolo Zifahamu Ibada za Mama Bikira Maria. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    28 mins
  • Je, wafahamu mbinu za kuepuka vishawishi vya Shetani?
    Feb 12 2025

    Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Benedict Ndinde, Kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo kuu Katoliki la Songea nikijibu swali la Msikiliz aji linalosema je, kwa namna gani tunaweza kuepuka Vishawishi vya Shetani?

    L'articolo Je, wafahamu mbinu za kuepuka vishawishi vya Shetani? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    26 mins
  • Fahamu namna ya kumlea mtoto katika maadili mema.
    Feb 12 2025

    Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro-Life, leo Studio niko na wawezeshaji kutoka Pro Life Tanzania, wakitufundisha muendelezo juu sikuu Familia na Malezi.

    L'articolo Fahamu namna ya kumlea mtoto katika maadili mema. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    51 mins
  • Fahamu njia za kumtangaza mtu kufikia Utakatifu
    Feb 12 2025

    Ungana na Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo anaeleza juu ya

    L'articolo Fahamu njia za kumtangaza mtu kufikia Utakatifu proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    57 mins
  • Nifanye nini ili niurithi Ufalme Mbingu?
    Feb 12 2025

    Karibu uungane nami Happiness Mlewa, katika kipindi cha Tafakari Nasi leo studio tupo naye Padre Peter Owino kutoka Uaskofuni Jimbo Katoliki Tanga,mada juu Nifanye nini ili niurithi Ufalme Mbinguni.

    L'articolo Nifanye nini ili niurithi Ufalme Mbingu? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    23 mins
  • Fahamu maana ya matumaini nanga ya Maisha ya Mwanadamu.
    Feb 11 2025

    Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera, akiendelea kutufundisha juu ya Matumaini nanga ya Maisha ya Mwanadamu.

    L'articolo Fahamu maana ya matumaini nanga ya Maisha ya Mwanadamu. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    54 mins
  • Je, ni kwa namna gani Watoto wanapaswa kuwaheshimu Wazazi wao?
    Feb 11 2025

    Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Ayuto Kongo kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu Swali hili Katika amri 10 za Mungu amri ya 4 inasema Waheshimu baba yako na mama yako upate miaka mingi na heri duniani,je? Hawa wazazi tulioamriwa Kuwaheshimu tuwaheshimu vipi?

    L'articolo Je, ni kwa namna gani Watoto wanapaswa kuwaheshimu Wazazi wao? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    27 mins
  • Je, kuna uhusiano wa jubilei kuu 2025 na kufahamu wito wako?
    Feb 11 2025

    Karibu uungane nami Mtangazajia wako Martin Joseph Katika kipindi cha Fahamu Wito Wako, Mwezeshaji ni Padre Innocent Bahati Mushi kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Jimbo Kuu Katoliki Arusha, anazungumzia juu ya Jubilei Kuu 2025 na Wito Wako.

    L'articolo Je, kuna uhusiano wa jubilei kuu 2025 na kufahamu wito wako? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    57 mins