Salafus-Swâlih Podcast Por Salafiy Tz arte de portada

Salafus-Swâlih

Salafus-Swâlih

De: Salafiy Tz
Escúchala gratis

Acerca de esta escucha

Salafus-Swâlih ni podcast ya kielimu inayofundisha Uislamu sahihi kwa misingi ya Qur’ani na Sunnah, kwa ufahamu wa Maswahaba, Tabi’ina, na waliowafuata kwa wema.Salafiy Tz
Episodios
  • Kushikamana Na Kamba Ya Allah - Abu Halima Arafat Mohamed
    Jul 5 2025

    Katika episode hii, Abu Halima Arafat Mohamed anazungumzia maana ya kushikamana na Kamba ya Allah kama ilivyobainishwa katika Qur’ani na Sunnah, na umuhimu wa umoja wa Waislamu kwa mujibu wa mafundisho ya Salafus-Swâlih. Ni mwito wa kurejea kwenye haki, elimu sahihi, na mshikamano wa kweli wa Kiislamu.

    Más Menos
    19 m
  • EP01 - Vitenguzi Vya Uislam - Abu Halima Arafat Mohamed
    Jul 5 2025

    Sheikh Abu Halima Arafat, aukichambua vitenguzi vya Uislamu kwa mwanga wa Qur’an na Sunnah. Tafakari muhimu kwa kila Muislamu anayejali usahihi wa Imani yake.


    Más Menos
    49 m
  • EP02 - Vitenguzi Vya Uislam - Abu Halima Arafat Mohamed
    Jul 5 2025

    Karibu kwenye mfululizo wa podcast ukishirikiana na Sheikh Abu Halima Arafat, tukichambua vitenguzi vya Uislamu kwa mwanga wa Qur’an na Sunnah. Tafakari muhimu kwa kila Muislamu anayejali usahihi wa Imani yake.

    Más Menos
    48 m
Todavía no hay opiniones